Msaada kwa ajili ya Windows 10

angalia visasisho kwenye windows 10

Nitasasishaje Windows 10?

 

Windows 10 huangalia visasisho mara kwa mara kwa hivyo hustahili kufanya hivyo. Wakati kisasisho kinapatikana, kinapakuliwa na kusakinishwa kiotomatiki — kikiendelea kusasisha kompyuta yako kwa vipengele vya sasa.


Ili kuangalia visasisho sasa, nenda kwenye Mipangilio > Kisasisho na usalama > Windows Update. na uteue Angalia visasisho. Iwapo Windows Update inasema kompyuta yako imesasishwa, una visasisho vyote vinavyopatikana sasa.

Exit mobile version