muunganisho wa mita ni nini?

Muunganisho wa mita ni nini?

Muunganisho wa mita ni muunganisho wa Mtandao ambao una kiwango cha data kinachohusiana nao. Miunganisho ya data ya mtandao wa simu inawekwa kama yenye mita kwa chaguo-msingi. Miunganisho ya Wi-Fi inaweza kuwekwa kama yenye mita, lakini sio kwa chaguo-msingi. Baadhi ya programu na vipengele kwenye Windows zitaonyesha tabia tofauti kwenye muunganisho wa mita ili kusaidia kupunguza matumizi yako ya data.


Ili kuweka muunganisho wa mtandao wa Wi-Fi kama wenye mita:
Teua Anza > Mipangilio > Mtandao na Intaneti.
Teua Wi-Fi > Chaguo mahiri > Weka kama muunganisho wa mita.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *