programu zipi zinafanya kazi na continuum ya simu

Programu ambazo zinafanya kazi na Continuum ya simu

Sasa hivi, programu ambazo zinafanya kazi na Continuum ya simu zinajumuishwa Microsoft Edge, programu za Office, na nyingine chache (kama Hali ya hewa na Barua). Tunashughulika ili kuauni programu zaidi katika visasisho vya siku zijazo.


Wakati huo, bado unaweza kutumia programu zisizoauniwa kwenye simu yako, lakini hazitaonekana kwenye skrini iliyounganishwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *