kuhusu mipangilio ya kulandanisha kwenye windows 10

Kuhusu mipangilio ya kulandanisha kwenye Windows 10

Kwa kuwasha ulandanishaji, mambo kama mandhari ya eneo kazi, mipangilio ya kivinjari, na nywila yataonekana kwenye vifaa vyako vyote vya Windows 10 (bora tu uingie kwa akaunti yako ya Microsoft na uwashe ulandanishaji katika kila kifaa).

kuhusu mipangilio ya kulandanisha kwenye windows 10
kuhusu mipangilio ya kulandanisha kwenye windows 10

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *