Msaada kwenye Kichunguzi Faili
Mada bora
Hapa kuna majibu ya maswali machache ya kawaida kuhusu Kichunguzi Faili:
Nitawezaje kugeuza ufikiaji Haraka kukufaa?
OneDrive hufanya kazi vipi kwenye Windows 10?
Maktaba yangu yako wapi?
Iwapo unatafuta kitu kingine, angalia mada nyingine za Kichunguzi Faili.
Msaada kwenye Windows 10
![pata msaada kwa kichunguzi faili kwenye windows 10](https://win10.support/wp-content/uploads/2016/01/1fdc0f893412ce55f0d2811821b84d3b-46.jpg)
Ingiza swali au nenomsingi kwenye kisanduku cha utafutaji na utapata majibu kutoka Microsoft, wavuti, na Cortana.